Discover Services
Jul 2024
Natengeneza milango ya mbao ya aina mbali mbali na Kwa ubora wa hali ya juu na tuna tumia mbao ngumu kama mninga na mkongo
Carpentry, Door Installation, Lock Installation
Countrywide
TZS 320,000 – 440,000
Item
Item
Aug 2024
Nina toa huduma ya kufunga mifumo ya ulinzi CCTV Camera majumbani na maofisini,Kwa huduma hii unaipata popote pale Tanzania na nchi jirani za Africa
Security Systems
Countrywide
TZS 40,000 – 55,000
Room
Room
Aug 2024
Nafunga mabomba ya maji safi na maji taka katika nyumba zote nchini.
Plumbing
Countrywide
TZS 640,000 – 880,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]
Jul 2024
Natengeneza mageti ya kuchomelea makubwa na madogo ya kisasa na ya aina mbalimbali Kwa ubora wa Hali ya juu
Door Installation, Lock Installation, Metal Work, Welding
Countrywide
TZS 960,000 – 1,320,000
Item
Item
Aug 2024
Nina toa huduma ya ufungaji wa mabomba ya maji safi na maji taka majumbani Kwa kuzingatia ubora na Kwa ubunifu wa kisasa Kwa huduma hii nakufikia popote ulipo Tanzania
Plumbing
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Square Metre
Aug 2024
Nina toa huduma ya finishing ya kupaka rangi kwenye kuta za majumbani Kwa kutumia rangi za aina mbalimbali na kuiacha nyumba yako ikiwa na mvuto mzuri
Painting
Continental
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]
Jul 2024
Huduma ya ujenzi wa ghorofa la kuishi familia popote pale Tanzania na nchi za jirani kwa kiwango, ubora, bajeti na weledi
House Building
Continental
TZS 320,000 – 440,000
Square Metre
Square Metre
Jul 2024
Huduma ya ujenzi wa mapaa ya nyumba ya bati za migongo mipana (IT4 na IT5) na kawaida kwa ubora, umakini na kunyooka
Sheet Roofing, Gutter Installation, Tile Roofing, Timber Trussing
Countrywide
TZS 12,000 – 16,500
Square Metre
Square Metre
Aug 2024
Tuna paua Mapaa Kwa kutumia mabati ya aina mbalimbali kama vile Msouth migongo mipana na midogo, mabati mfano wa kigae (versatile) yenye ubora na Mapaa ya kuchimbia(hidden roof).
Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing
Countrywide
TZS 1,600,000 – 2,200,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]
Aug 2024
Nina toa huduma ya uwekaji wa tiles majumbani kwa kuzingatia vipimo na ubunifu wa kisasa, Kwa huduma hii nakufikia popote ulipo Tanzania na nchi jirani za Africa
Tiling
Countrywide
TZS 2,800 – 3,850
Square Metre
Square Metre
Jul 2024
Huduma ya ujenzi nyumba ya familia ya kisasa kwa ubora, weledi pamoja na uimara wa hali ya juu popote pale Africa Mashariki
House Building
Continental
TZS 220,000 – 302,500
Square Metre
Square Metre
Aug 2024
Nina toa huduma ya ufungaji wa mifumo ya majisafi kwenye nyumba za aina zote ndani na nje ya nyumba Kwa kutumia mabomba imara, Kwa huduma hii nafika mikoa yote hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Plumbing
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Square Metre
Sep 2024
nafanya-skimming-nyumba-aina-zote-kwa-kuzingatia-ubora-na-ustadi-na-kwa-uaminifu-mkubwa
Plastering
Countrywide
TZS 24,000 – 33,000
Room
Room
Aug 2024
Nina toa huduma ya utengenezaji wa mageti ya majumbani ya kisasa yenye ubora na mvuto mzuri huduma hii unaweza kupata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Steel Fixing, Door Installation, Gate Installation
Countrywide
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Item
Item
Aug 2024
Nina toa huduma ya upauaji wa ya kisasa Kwa kutumia mabati ya Msouth migongo mipana na midogo Kwa ubunifu wa hali ya juu ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing
Countrywide
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]
Aug 2024
Nina toa huduma ya uezekaji wa mapaa ya kuchimbia (hidden roof) Kwa ubora na kisasa zaidi na kufanya nyumba yako iwe na mvuto mzuri huduma hii unaweza kupata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Sheet Roofing, Shingle Roofing
Countrywide
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]
Sep 2024
Nina toa huduma ya kutengeneza milango ya mbao kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa,kwa huduma hizi nakufikia popote pale Tanzania.
Furniture Designing
Countrywide
TZS 400,000 – 550,000
Item
Item
Sep 2024
Ninaweka paving katika nyumba kwa kutengeneza maua ya aina zote nchini
Paving
Countrywide
TZS 6,400 – 8,800
Square Metre
Square Metre
Aug 2024
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye sakafu za nyumba Kwa ubunifu wa kisasa zaidi na kuifanya nyumba yako ipendeze,nafika mikoa yote hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Tiling
Countrywide
TZS 4,000 – 5,500
Square Metre
Square Metre
Aug 2024
Nina toa huduma ya utengenezaji wa madirisha ya kuchomelea Kwa ubora na kisasa ya aina tofauti tofauti huduma hii unaweza kupata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za
Steel Fixing, Welding, Window Installation
Countrywide
TZS 2,400,000 – 3,300,000
Item
Item
Aug 2024
Mimi ni fundi nanaye weka mageti Kwa ustadi mkubwa. Nanina uzoefu wa mda mrefu
Gate Installation
Continental
TZS 640,000 – 880,000
Item
Item
Aug 2024
Alibert Mimi ni fundi wa kutengeneza biodigester kwajili ya mayumbn na kwenye makampuni au taasisi mbalimbali Kwa kutumia uzoefu mkubwa nilio kwenye uyoaji wa huduma hii
Biogas Installation
Continental
TZS 1,760,000 – 2,420,000
Contract
Contract
Sep 2024
Nina toa huduma ya kuweka urembo kwenye nguzo za nyumba kwa ubora na kisasa zaidi.
Color Mixing, Plastering
Countrywide
TZS 80,000 – 110,000
Second
Second
Aug 2024
Tuna funga system ya power backup majumbani na maofisini Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa
Solar Electricity
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Item
Item
Hire Builders
TZ
From TZS 100,000/day
- 4.0 Ratings
Kinondoni
10 years
Mtaalamu wa mambo ya ujenzi wa makazi aliyesomea na mwenye uzoefu wa muda mrefu, kutoka kwenye kusanifu ramani za nyumba, usanifu wa nadharia ya nje ya nyumba na bustani, pamoja na mambo ya makisio na mahesabu ya gharama za ujenzi. Lengo letu ni kukuwezesha kutimiza nyumba ya ndoto yako sasa, bila kujalisha kama ni ya gharama nafuu au mjengo wa heshima.
3D Rendering Building Designing Cost Estimation Landscape Designing Project Management Project Planning Technical Drafting
TZ
From TZS 40,000/day
- 0.0 Ratings
Temeke
11 years
Mimi ni mtaalam wa kuweka tiles majumbani Kwa kuzingatia ubora wa kisasa na niko na uzoefu wa kutosha katika swala zima la uwekaji wa tiles majumbani na maofisini pia nina msikiliza mteja Kwa kile anacho kihitaji na nina hakikisha kazi inakuwa ya viwango vya hali ya juu.
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Ubungo
29 years
Mimi ni fundi wa kuweka tiels na kufanya plastering kwenye nyumba yako nyumba ya aina zote magorofa nyumba za kawaida mashuleni kwenye makampuni na nyumba za nyumbani pamoja na kuweka urembo kwenye nyumba yako
Biogas Installation
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Kogwa
6 years
Nina toa huduma ya kupaua mapaa Kwa kutumia mabati ya kisasa na kuzingatia ubora zaidi, pia nina zingatia vipimo na tuna hakikisha mteja ana pata kile kilicho bora pia ushauri Kwa wateja wetu ni bure kabisa
Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 200,000/day
- 0.0 Ratings
Dat
15 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu nishafanya kazi sehemu tofauti tofauti katika uwekaji wa gesi mfumo wa gesi nyumbani kwako gesi hii ni mbadala inatumia maji taka ya aina yoyote ambayo yanaweza paka mwisho na maji yake huweza kutumika kama mbadala wa maji ya kufurashia chuoni nakufanyia usafi rishaji kushika maji tukufungie kwa bei nafuu kabisa na kwa uzoefu wa muda mrefu na uzoefu wa takribani miaka 16
Biogas Installation
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Kigamboni
8 years
Naweka tiles katika nyumba aina zote kwa kutengeneza maua tofauti tofauti kulingana na mteja apendavyo
Tiling
TZ
From TZS 40,000/day
- 0.0 Ratings
Kinondoni
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha na ujuzi wa kisasa nina tumia ubunifu ambao inanisaidia kumpatia mteja kile anacho kihitaji pia nina tumia vifaa vyangu ambavyo vina nisaidia kwenye swala la ukataji wa tiles.
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
- 0.0 Ratings
Gongola...
12 years
Mimi ni fundi wa kufanya tailizi nafanya tailizi nin uzoefu wazaidi ya miaka kumi na mbili katika kazi yangu hii ya kufanya tailizingi nimefanya kazi na watu mbalimbali pia nina ujuzi wa kufunga mabomba ya kufanya plastaring kwenye nyumba yako
Tiling Plumbing Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
- 0.0 Ratings
Irugus
5 years
Mimi ni fundi wa kuweka tilis katika nyumba yako kwa kuzingztia ubora wa kweli na kwa uzoefu na uaminifu mkubwa na kwa kuzingatia ubora na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano
Tiling
TZ
From TZS 50,000/day
- 0.0 Ratings
Kigamboni
15 years
Nime bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi pamoja na kuweka epoxy floor zenye ubora na zenye mapambo ya aina mbalimbali pia nina uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi hizi
Gypsum Decoration Painting