Africa Residential Development Platform

Discover, Plan, Estimate, Hire Experts & Build Your Home Efficiently!

Choose the Ideal House Plan for Your Needs, Plot, Budget, and Preferences. Hire Our Top Professionals to Build Your House Well, or Browse Available Services to Start Your Project Immediately. Select Based on Preferences, Budget, Location, Style, and Payment Mode for Efficient Home Building. Our Professionals Are Eager to Travel Anywhere to Come to Work in Your Project!
House Plans

Choose House Plan According to Size, Style, Budget, Plot, Preferences With Customization

Professionals

Explore Trade Professional, Skills, Experience, Locations, Chat, Quotes & Hire The Best

Services

Discover Instant Trade Services Perfect For Your Home Project At Affordable Prices

Don't Sleep Until You Own It!

House Plans

Professionals

TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
7 years
5 months
Nina toa huduma za ununuzi, ujenzi Kwa kutumia tangastone na burning bricks na ubunifu wa nyumba(House design) ndani ya nchi na nchi jirani za Africa, tumesha fanya kazi sehemu nyingi na tuna uzoefu wa kutosha usio pungua Miaka sita pia tuna fanya kazi zenye viwango na kuhakikisha mteja ana ridhika na kazi zetu na kwa wale wateja wanao hitaji ushauri tunatoa ushauri bure kabisa kabla ya mteja kuchukua hatua yakujenga ili kuhakikisha kazi ina kuwa yenye viwango na mvuto mzuri.
Building Designing Bricklaying Stonework
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
15 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha Nina ujuzi wa kuezeka Mapaa kwenye nyumba Kwa kutumia mabati ya aina tofauti tofauti na kuacha paa lako likiwa na mvuto mzuri.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 50,000/day
Ukonga
21 years
Fundi hamisi fundi wa dizaini kwenye nyumba yako finishing ya kibabe finishing aina yote ya gypsum painting ya rangi kwa nje wall decoration
Gypsum Decoration Drywall Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Ubungo
8 years
Mimi ni fundi ujenzi niliye bobea katika swala zima la uwekaji wa urembo kwenye nyumba kwa kutumia mchanganyiko wa mchanga na cement, Nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya hii kazi na Nina tengeneza urembo wowote ule kulingana na mteja wangu anavyo taka.
Building Designing Plastering
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
11 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye uwekaji wa tiles pamoja na urembo Kwa kutumia tiles, Nina uzoefu wa kutosha pia nina tumia vipimo ili kuhakikisha nyumba ina kuwa na muonekano mzuri na ushauri ni bure kabisa Kwa wateja wangu kuhusiana na aina ya tiles mteja anayotaka kutumia
Tiling
TZ
From TZS 25,000/day
Dar es ...
8 months
Mimi ni Mkami fundi wa kutengeneza biodigester ambao ni mbadala wa septic tank ambazo hutumia pesa kidogo na hudumu Kwa mda mrefu bila yakujaa
Door Installation Gate Installation Glazing Window Installation

Pro Services

Aug 2024
Nina toa huduma ya kufunga taa za solar kwenye uzio wa majumbani Kwa kuzingatia taa zenye ubora na zinazo dumu Kwa muda mrefu
Solar Electricity
Countrywide
TZS 24,000 – 33,000
Item
Sep 2024
mimi-ni-fundi-wa-umeme-katika-maghorofa-yote-hapa-nchini-katika-ubora-wa-hali-ya-juu
Electrical Troubleshooting, Wiring
Continental
TZS 960,000 – 1,320,000
Floor Multi-Storey [150 SQM]
Aug 2024
Fundi wa kuweka paving katika nyumba
Paving
Continental
TZS 3,200 – 4,400
Square Metre
Aug 2024
Nina uzoefu wa kupiga plasta na kuweka urembo kwenye fensi za nyumba Kwa ubora wa hali ya juu, huduma hii inapatikana mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Plastering
Countrywide
TZS 960,000 – 1,320,000
Single Floor House [150 SQM]
Aug 2024
Tuna toa huduma ya kuweka gypsum board ceiling design Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa Kwa mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Ceiling, Gypsum Decoration
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Jul 2024
Tunajenga nyumba za makazi ya familia mkoa wowote Tanzania na nchi za jirani kwa ubora, utaalamu, kiwango na thamani
House Building
Continental
TZS 26,000,000 – 35,750,000
Single Floor House [150 SQM]

Are You an Expert in Residential Housing Who is Interested to Work With Us?

Educate and inspire more people to achieve better housing;

Join us if you are a professional Architect!

Join Membership

Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!

Eng. Lwifunyo Mangula
Payment Challenges? WhatsApp Admin