Nina toa huduma ya kutengeneza vitanda vya kisasa vya chuma Kwa ubunifu na ubora wa hali ya juu huduma hii unaweza kupata popote pale ndani ya Tanzani – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 220,000 / item item
Duration
4 item Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
regional Area
0.0
0
336
0
Quantity (item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Shafii Hassani
Shafii Hassani
Fundi kuchomelea mageti,magrili, madirisha na vitanda Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi mkubwa wa kutengeneza vitanda vya chuma Kwa ubunifu wa hali ya juu na Kwa gharama na fuu pia nina msikiliza mteja wangu yeye anataka kitanda cha aina gani na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika pia nina hakikisha kazi ina kamilika kwa muda tulio kubaliana na mteja wangu na ushauri kwangu ni bure kabisa.

Materials Included

  • Mabomba ya chuma
  • per-item
  • Mbao
  • per-item

Quality & Control Plan

Safety Control Nina sehem nzuri za kuhifadhi vitanda ambayo vina kuwa tayari visha tengenezwa pamoja na walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control Nina zingatia ubora wa chuma cha kutengenezea kitanda Nina zingatia rangi nzuri na zenye ubora ambazo zina zuia kutu Nina zingatia mitindo mipya ambayo ina pendwa na wateja wengi
Budget Control Nina piga gharama zitakazo tumika kwenye utengenezaji wa kitanda na kumpatia mahesabu mteja
Schedule Control Nina hakikisha mteja ana pata kitanda chake kulingana na muda tulio kubaliana
Satisfaction Control Nina msikiliza mteja wangu ana toa ushauri gani kulingana na kazi yangu kazi ni ya viwango hivyo mteja ana ridhika kabisa na kazi yangu.

Category

Welding

Chronology

Published7 Aug 2024

Modified25 Oct 2024

AuthorShafii Hassani

Tags

No tags available

Service Data

Category
Welding
Type
Physical Work
Rate
TZS 220,000 / item
Duration
4 item
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
regional
Provider
Shafii Hassani
Comments
No reviews recorded