Nina tengeneza milango ya chuma ambayo ni imara, ina ubora pia ina mvuto mzuri kwa kuweka kwenye nyumba yako nakufikia popote pale Tanzania – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 360,000 / item item
Duration
7 item Time
Coverage
labor_materials Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
1
693
0
Quantity (item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Shafii Hassani
Shafii Hassani
Fundi kuchomelea mageti,magrili, madirisha na vitanda Click here to WhatsApp the provider!

Details

Pata mlango wa kipekee wenye hadhi na heshima zake haswa ukifaa sehemu za mbele sebuleni unaokidhi vigezo vya ubora. Urefu wa takriban 2.4m na upana wa 1.2m ukiwa tayari ndani ya wiki moja. Tunatumia bati zito la geji 16 tofauti na yale ya kawaida ya geji 20 pia mteja kwetu ni mfalme hivyo tuna mpatia ushauri kulingana na muonekano wa nyumba yake aweke mlango wa aina gani na pia mteja anapatiwa gharama nzima za utengenezaji wa mlango na kazi ina kamilika kwa muda tulio kibaliana.

Materials Included

  • Bati ngumu
  • per-item

Quality & Control Plan

Safety Control Nina hakikisha kuna ulinzi kwenye sehemu yangu ya kazi Nina vyumba vizuri vya kuhifadhia milango yangu ambayo natengeneza
Quality Control Nina zingatia ubora na rangi nzuri ambazo zina zuia mlango kuwa na kutu Nina hakikisha Nina nunua bati ngumu ambazo zina uwezo wa kudumu Kwa muda mrefu
Budget Control Nina hakikisha nime andaa orodha ya vifaa vitakavyo tumika kwenye utengenezaji wa milango
Schedule Control Nina hakikisha mteja ana pata kazi yake kulingana na mda tulio kubaliana
Satisfaction Control Mwisho Nina muuliza mteja mtazamo wake kulingana na ubora wa milango yangu na kumsikiliza ushauri wake

Category

Welding

Chronology

Published12 Oct 2024

Modified21 Oct 2024

AuthorShafii Hassani

Tags

No tags available

Service Data

Category
Welding
Type
Physical Work
Rate
TZS 360,000 / item
Duration
7 item
Price Coverage
labor_materials
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Shafii Hassani
Comments
No reviews recorded