Details
Nina ujuzi wa kutengeneza mageti Kwa ubora ubunifu na kisasa zaidi Kwa kutumia vifaa vyangu binafsi na pia nina msikiliza mteja ana hitaji geti la aina gani na kumpatia mahesabu ya gharama ambazo zitatumika na kumpatia ushauri mteja Wangu ni bure kabisa.
Materials Included
- Mabati magumu
- per-second
- Vitasa
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina ulinzi kwenye eneo langu la kazi na wananisaidia kulinda nyakati zote
Quality Control
Nina zingatia maelekezo ya mteja Natumia mabati na vitasa vyenye ubora Nina tumia rangi zenye ubora ambazo zina zuia kutu
Budget Control
Nina hakikisha mteja nampatia gharama ya vifaa ambavyo vitaenda kutumika
Schedule Control
Nina hakikisha mteja ana pata geti lake Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina msikiliza mteja anatoa maoni gani kutokana na kazi niliyo ifanya
Category
Door Installation, Gate Installation, Welding
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorBakari Saidi