Details
Nina uzoefu wa kutengeneza milango ya aluminium yenye ubora unaodumu kwa muda mrefu pamoja na kufanya nyumba na ofisi kupendeza. Tunaweka pia milango ya aluminium katika maghorofa yaliyopo nchini na kuwa na muonekano mzuri. Gharama zetu ni nafuu kabisa hivyo unakaribishwa tukuhudumie kwa huduma zilizo bora. Asante
Materials Included
- Aluminium, vioo
- aluminium, mashine za kukatia
- 6
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Kuhifadhi vioo sehemu nzuri visije vikvunjika au kujeruhi mtu
Quality Control
Kutumia aluminium zilizo bora pamoja na kutumia mashine kukata aluminium wakati wa kazi.
Budget Control
Kufanya kazi kwa ufanisi ndani ya muda mfupi, na kupunguza idadi ya vibarua
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku mpaka kazi itakapokabidhiwa kwa mteja
Satisfaction Control
Kukabidhi kazi ya mteja kwa wakati mliokubaliana
Category
Door Installation
Chronology
Published3 Sep 2024
Modified3 Sep 2024
AuthorPeradius Munuo