Nina tengeneza kabati Kwa kutumia aluminium Kwa njia ya kisasa na ubunifu mkubwa huduma hii unaweza kupata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 200,000 / item item
Duration
3 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
53
0
Quantity (item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Bakari Saidi
Bakari Saidi
Fundi aluminium, madirisha,milango,na magirili Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kutengeneza makabati ya aluminium kwenye majumba na ofisini Kwa kutumia umakini wa hali ya juu na kisasa zaidi Nina msikiliza mteja wangu ana taka kabati la Aina gani pia nina mpatia mteja wangu bajeti ya gharama zitakazo tumika na kumpatia ushauri bure kabisa

Materials Included

  • Aluminium
  • per-second

Quality & Control Plan

Safety Control Nina hakikisha nina hakikisha umakini kwenye usafirishaji wa makabati Nina hakikisha kuna ulinzi kwenye eneo langu la kazi
Quality Control Nina nunua aluminium Bora ili nitengeneze kabati Bora zaidi
Budget Control Nina hakikisha mteja wangu nampatia gharama ya vitu vitakavyo tumika kwenye utengenezaji wa kabati
Schedule Control Nina hakikisha mteja ana pata kazi yake Kwa muda sahihi tulio kubaliana
Satisfaction Control Nina msikiliza mteja wangu yeye anaongeleaje huduma ya kazi yangu

Category

Door Installation, Glass Tinting, Window Installation

Chronology

Published7 Aug 2024

Modified7 Aug 2024

AuthorBakari Saidi

Tags

No tags available

Service Data

Category
Door Installation, Glass Tinting, Window Installation
Type
Physical Work
Rate
TZS 200,000 / item
Duration
3 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Bakari Saidi
Bakari Saidi |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded