Nina toa huduma ya kutengeneza na kuchomelea magrili Kwa njia ya kisasa zaidi huduma hii unaweza kupata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 90,000 / item item
Duration
30 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
258
0
Quantity (item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Bakari Saidi
Bakari Saidi
Fundi aluminium, madirisha,milango,na magirili Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wakutosha kwenye swala zima la kuchomelea na kutengeneza ma grili Kwa ubora na Kwa njia ya kisasa pia nina msikiliza mteja wangu anahitaji nini na kumpatia mahesabu ya gharama atakazo tumia kulingana na idadi ya magrili

Materials Included

  • Bati gumu
  • per-second
  • Bomba za chuma
  • per-second

Quality & Control Plan

Safety Control Nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control Nina hakikisha ubora wa kazi zangu ni wa kisasa Nina hakikisha natumia vifaa vya kisasa ili kazi yangu ivutie
Budget Control Nina andaa orodha ya gharama zote zitakazo tumika kwenye utengenezaji wa magrili
Schedule Control Nina hakikisha mteja wangu ana pokea kazi yake Kwa wakati
Satisfaction Control Nina msikiliza mteja wangu ana ongeleaje kazi yangu na kama kuna changamoto nina suluhisha

Category

Door Installation, Welding, Window Installation

Chronology

Published7 Aug 2024

Modified7 Aug 2024

AuthorBakari Saidi

Tags

No tags available

Service Data

Category
Door Installation, Welding, Window Installation
Type
Physical Work
Rate
TZS 90,000 / item
Duration
30 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Bakari Saidi
Bakari Saidi |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded