Nina uzoefu wa kutengeneza milango ya chuma double layers kwa ubunifu na kisasa na Kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu na tunafika mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 250,000 / item item
Duration
3 item Time
Coverage
labor_materials Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
245
0
Quantity (item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Shafii Hassani
Shafii Hassani
Fundi kuchomelea mageti,magrili, madirisha na vitanda Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kutengeneza milango ya chuma double layers iliyo Bora Kwa kutumia vifaa vyangu mwenyewe ambavyo ni vya kisasa pia mteja anasikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na ushauri ni bure Kwa wateja wangu wote na nina hakikisha kazi ina kamilika kwa muda tulio kubaliana na mteja wangu.

Materials Included

  • Bati ngumu
  • per-item

Quality & Control Plan

Safety Control Nina hakikisha kuna ulinzi kwenye sehemu yangu ya kazi Nina vyumba vizuri vya kuhifadhia milango yangu ambayo natengeneza
Quality Control Nina zingatia ubora na rangi nzuri ambazo zina zuia mlango kuwa na kutu Nina hakikisha Nina nunua bati ngumu ambazo zina uwezo wa kudumu Kwa muda mrefu
Budget Control Nina hakikisha nime andaa orodha ya vifaa vitakavyo tumika kwenye utengenezaji wa milango
Schedule Control Nina hakikisha mteja ana pata kazi yake kulingana na mda tulio kubaliana
Satisfaction Control Mwisho Nina muuliza mteja mtazamo wake kulingana na ubora wa milango yangu na kumsikiliza ushauri wake

Category

Welding

Chronology

Published12 Oct 2024

Modified21 Oct 2024

AuthorShafii Hassani

Tags

No tags available

Service Data

Category
Welding
Type
Physical Work
Rate
TZS 250,000 / item
Duration
3 item
Price Coverage
labor_materials
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Shafii Hassani
Comments
No reviews recorded