Mtaalamu wa urembo wa nyumba na bustani anayeishi Temeke, Dar es Salaam. Ameanza kazi za decorations mwaka 2014 na anajishughulisha na plasta decorations, gypsum board design, ujenzi wa mabwawa ya kuogelea, chemchemi za maji, maporomoko ya maji, kuweka tiles, kupaka rangi, na kubuni bustani. Pia anatengeneza sanamu za wanyama, ndege, majabali, na magogo.