Mimi ni Matalan wa Ku chimba mashimo taka ya kisasa na yasiyo jaa maji,Nina tumia matofali imara na yanayo saidia kupitisha maji kwenye aridhi na kufanya choo kisijae Kwa haraka, pia tuna tumia eneo dogo kwenye ujenzi wetu na kumsikiliza mteja anataka urefu gani na upana gani na anapatiwa bajeti nzima ya gharama zitakazo tumika na ushauri ni bure kabisa
Other Services from Gypsum Decoration, Structural Designing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!