Nina ujuzi wa kuseti gypsum board na kufunga kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa hali ya juu pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile ana chotaka kukiona kwenye gypsum board yake na pia ushauri natoa bure kabisa kwa wateja wangu pia nina zingatia muda katika ufanyaji wangu wakazi na nina hakikisha mteja wangu ana patiwa mahitaji ya gharama zote zitakazo tumika kwenye ujenzi huo
Published9 Sep 2024
Modified9 Sep 2024
AuthorMsuva Allu