Nina toa huduma ya kufunga gypsum board Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa, kwa huduma hizi nakufikia popote pale Tanzania – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 300,000 / Room Room
Duration
10 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
147
0
Quantity (Room)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Francies Chitila
Francies Chitila
Fundi ujenzi Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kufunga gypsum board Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa hali ya juu na kwa kuzingatia vipimo na vifaa vya kisasa pia niko na mafundi ambao wana nisaidia katika swala zima la kukamilisha kazi kwa wakati na pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji na pia nampatia orodha ya gharama nzima zitakazo tumika kwenye ujenzi na kuhakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi zangu.

Materials Included

  • Gypsum board
  • per-item

Quality & Control Plan

Safety Control Nina zingatia usalama wa kazi zangu kwani shughuli za uwekaji wa gypsum board Zina fanyika site
Quality Control Nina zingatia ubora wa kazi Nina zingatia ufungaji mzuri wa gypsum board
Budget Control Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za uwekaji wa gypsum board
Schedule Control Nina zingatia muda wa kuanza kazi na kumaliza kazi
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu

Category

Gypsum Decoration

Chronology

Published9 Sep 2024

Modified9 Sep 2024

AuthorFrancies Chitila

Tags

No tags available

Service Data

Category
Gypsum Decoration
Type
Physical Work
Rate
TZS 300,000 / Room
Duration
10 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Francies Chitila
Francies Chitila |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded