Ninatoa huduma ya kufanya brandering pamoja na kuweka gypsum board Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa kwani nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji pia nina mpatia bajeti nzima ya kazi na nina ambatana na mafundi wangu wenye ujuzi na ubunifu wa hali ya juu pia nina hakikisha nina mfanya mteja wangu aweze kuridhika na kazi zetu na pia ninatumia vipimo kwenye kufanya brandering na rangi nzuri za kufanya finishing ya gypsum board na nina hakikisha kazi zote zina Isha kwa wakati.
Published9 Sep 2024
Modified9 Sep 2024
AuthorSamir Koba