Jafari Mlimba nifundi mwenye uzoefu wa Miaka 14 anatoa huduma zifuatazo nyumba za bati la kuficha mabwawa ya maji (swimming pool) tangi zinazo tengenezwa Kwa bati ngumu lisiloshika kutu(steal tank) kutanua maungio(expansion joint) kudhibiti maji(waterproofing) kudhibiti fangasi za kuta na kupaka rangi ya epoxy.
Published28 Jul 2024
Modified27 Sep 2024
AuthorJafari Mlimba