Nafanya gypsum decoration katika nyumba yako na kuweka urembo kwa kutumia gypsum boards nina uzoefu wa miaka minne katika kazi hii na nimefanya kazi mkoa wa Dar es salaam na mrogoro na piahandeni tanga kazi za watu binafsi na za makampuni na taasisi za serikali na bei zetu ni nafuu kabisa katiks ufanyaji wa kazi hii
Published11 Sep 2024
Modified11 Sep 2024
AuthorRashid Madongo