Nina weka rangi za urembo kwenye gypsum board (gypsum board decoration) Kwa ubunifu wa kisasa zaidi pia nakufikia popote ulipo Tanzania. – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 40,000 / Room Room
Duration
2 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
89
0
Quantity (Room)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Samir Koba
Samir Koba
Fundi rangi Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kuweka rangi za urembo kwenye gypsum board na kufanya board ya gypsum yako kuwa na mvuto wa hali ya juu na kisasa zaidi pia nina mpatia mteja wangu gharama nzima za uwekaji wa gypsum board na pia nina mpatia ushauri kulingana na aina ya nyumba yake pia nina kamilisha kazi zangu kwa wakati na kumfanya mteja wangu aridhike na kazi zangu na pia kwa huduma hii namfikia mteja wangu popote pale Tanzania

Materials Included

  • Rangi
  • per-item

Quality & Control Plan

Safety Control Nina zingatia ulinzi kwani shughuli za uwekaji wa rangi zina fanyika site
Quality Control Nina zingatia ubora wa kisasa kwenye upakaji wa rangi
Budget Control Nina hakikisha mteja anapatiwa gharama nzima za uwekaji wa rangi
Schedule Control Nina zingatia muda wa kumalizia kazi
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zangu

Category

Gypsum Decoration, Painting

Chronology

Published9 Sep 2024

Modified9 Sep 2024

AuthorSamir Koba

Tags

No tags available

Service Data

Category
Gypsum Decoration, Painting
Type
Physical Work
Rate
TZS 40,000 / Room
Duration
2 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Samir Koba
Samir Koba |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded