Nina ujuzi wa kupaka rangi kwa kuzingatia ubora na kisasa zaidi ,pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji na nina ambatana na mafundi ambao wana uzoefu wa hali ya juu na kumfanya mteja aweze kuridhika kabisa pia nina tumia mchanganyiko mzuri wa rangi na kuhakikisha nyumba ina vutia kabisa na mteja wetu anapatiwa gharama nzima za upakaji wa rangi na ushauri kwangu ni bure kabisa
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Rangi | per-item |
Other Services from Painting Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!