mimi-ni-mtaalamu-wa-kuweka-umeme-katika-fensi-za-nyumba-kwa-ajili-ya-taa-na-ulinzi-wa-nyumba-kwa-ubora-wa-hali-ya-juu – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 1,000,000 / m² m²
Duration
7 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
continental Area
0.0
0
109
0
Quantity (m²)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Hussein Ally
Hussein Ally
Fundi umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kufunga umeme kwenye fensi katika nyumba nyingi hapa nchini na popote ninapofunga umeme hakuna usumbufu wa umeme wowote unaojitokeza. Kazi hii ninaifanya katika ubora wa hali ya juu kutokana na elimu yangu pamoja na uzoefu nilionao. Ninakukaribisha tufanye kazi pamoja kwa usalama wa nyumba yako. Asante

Materials Included

  • waya wa umeme, mabomba
  • waya wa umeme, soketi, mabomba
  • 60
  • per-metre

Quality & Control Plan

Safety Control Kufunga mabomba kwa ajili ya kupitishia waya wa umeme kuepusha kulowa maji au kuganda na cement
Quality Control Kufunga waya kwa uangalifu na kuweka taa katika umbali ambao utatoa mwanga mzuri na kufanya nyumba ipendeze na kuwa salama pia
Budget Control Kufunga taa katika umbali kidogo kuepusha matumizi ya taa kuwa nyingi katika fensi kupunguza gharama.
Schedule Control Kufanya kazi kila siku kwa umakini mpaka kazi itakapokamilika
Satisfaction Control Kukabidhi kazi katika muda muafaka tuliokubaliana na mteja katika ubora wa hali ya juu

Category

Electricity Safety, Wiring

Chronology

Published5 Sep 2024

Modified5 Sep 2024

AuthorHussein Ally

Tags

No tags available

Service Data

Category
Electricity Safety, Wiring
Type
Physical Work
Rate
TZS 1,000,000 / m²
Duration
7 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
continental
Provider
Hussein Ally
Hussein Ally |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded