Details
Nina ujuzi wa kufunga wiringi majumbani na maofisini pamoja na sehemu yeyote ile ambayo inahitaji huduma hizi ya wiring kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa hali ya juu pia nina msikiliza mteja na kumpatia gharama nzima ambayo itaenda kutumika kwenye uwekaji huo wa wiring na kuhakikisha na mpatia kile kilicho bora na ushauri kwangu ni bure kabisa kwa wateja wangu.
Materials Included
- Nyaya za umeme
- per-metre
- Kebo
- per-item
- Switch
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za uwekaji wa wiring Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa kisasa
Budget Control
Mteja anapatiwa gharama nzima za vifaa vitakavyo hitajika
Schedule Control
Nina hali muda
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu
Category
Electricity Safety
Chronology
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorRonald Shayo