Author: Doviko Luoga
Mimi ni mtaalam wa kutengeneza vyoo vya kisasa usisumbuke na karo la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia.
