Author: Ally Chilumba
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala zima la uwekaji wa urembo wa nyumba na hotelini Kwa kutumia mbao na gypsum (gypsum decoration) Nina tengeneza sehemu kama vile sebuleni, jikoni,chumbani,TV show cases pia na fika mikoa yote kutoa huduma hii ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa Kwa ubora na ubunifu wa kisasa na toa ushauri bure kabisa.
