Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Kazi kazi
Science
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu kwani umekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwenye swala zima la kielimu na nimeweza kujifunza namna ya kuishi na watu na pia baada ya kumaliza nimejifunza maisha ya kujitegemea Kwa kujikita kwenye swala zima la ujenzi