Details
Nina ujuzi wa kupiga plaster kwenye nyumba Kwa kutumia vipimo na ubunifu na kuacha nyumba yako iki pendeza Sana ,nina mafundi wenye ujuzi na uzoefu kwenye kazi hizi za plaster na tuna shauriana na mteja na kumpatia gharama ya cement na mchanga zitakazo hitajika kukamilisha ujenzi huo
Materials Included
- Cement (24 Item)
- Mchanga (12 Per Tonne)
Quality & Control Plan
Safety Control
Ulinzi upo wa kutosha kwani shuguli zote zina fanyika hapo hapo site
Quality Control
Tuna zingatia uchanganyaji mzuri wa cement na mchanga
Tuna zingatia vipimo ili plasta inyooke
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama kulingana na aina ya nyumba
Schedule Control
Tuna hakikisha tuna maliza ujenzi Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja anasikilizwa Kwa maoni yake
Chronology
Published14 Aug 2024
Modified14 Aug 2024
AuthorAlly Chigwelo