Details
Nina ujuzi wa kujenga nyumba kuanzia kwenye msingi,boma na linta Kwa kutumia vifaa bora na mafundi wenye uzoefu na kazi hii,Nina toa ushauri Kwa mteja wangu na kumpatia gharama nzima ya ujenzi itakayo tumika kwenye nyumba yake na ushauri ni bure kabisa
Materials Included
- Tofali (1000 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Cement (20 Per Single Floor House 150 Sqm)
- Kamba za manila (Metre)
- Mbao (20 Per Single Floor House 150 Sqm)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ujenzi zinafanyia site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha tuna chagua tofali imara
Tuna hakikisha tuna changanya cement na mchanga vizuri
Tuna hakikisha tuna chumba msingi mrefu
Tuna hakikisha tuna tumia vipimo ili kuhakikisha nyumba ina nyooka
Budget Control
Mteja ana patiwa orodha nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha tuna maliza ujenzi Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mwisho mteja anasikilizwa na kuulizwa kama ameridhishwa na kazi au la
Category
Building Setting Out
Chronology
Published14 Aug 2024
Modified14 Aug 2024
AuthorAlly Chigwelo