Details
Nina uzoefu wa kutosha kwani nina Jenga ,nafanya setting na makadirio ya gharama nzima ambazo zitatumika pia nina msikiliza mteja na kumpatia ushauri wa kitaalam ili aweze kujengewa nyumba iliyo bora na ya kisasa na ushauri ni bure kabisa kwa wateja wangu
Materials Included
- Matofali (Per Second)
- Nondo (Per Second)
- Cement (Per Second)
- Kokoto (Per Second)
- Mbao za kusetia (Per Second)
- Kamba manila (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanyika site hivyo ulinzi na uangalizi wa vifaa vya ujenzi ni mkubwa sana
Quality Control
Tuna changanya cement na mchanga vizuri
Tuna hakikisha tofali ni imara
Tuna tumia vipimo ili Kufanya nyumba inyooke vizuri
Budget Control
Tuna kaa na mteja na kupanga bajeti ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa kazi yake Kwa muda husika tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja anasikilizwa Kwa maoni yake na tuna yafanyia kazi
Category
Building Designing, Building Setting Out
Chronology
Published12 Aug 2024
Modified12 Aug 2024
AuthorLutengano Mwandola