Makazi Family
0 Sign In
Lutengano Mwandola
Verified Provider TZS 40,000/Day

Lutengano Mwandola | Lejo

TZ

Jenga na mafundi walio bobea usiharibu jengo lako

Mbeya CBD
Experience: 56 years
774 Views
building designing building setting out corrugated sheet roofing shingle roofing

Contacts

Scan With Your Mobile

to Get it Handy

QR Code
Mbeya CBD
Tanzania
255 755 ...
mwa******************com
male
Active
Experience: 56 years
swahili
R Verified Provider

About Lutengano

Jenga na mafundi walio bobea usiharibu jengo lako

Expertise & Skills

building designing building setting out corrugated sheet roofing shingle roofing

Designs (0)

No designs available.

Posts (0)

No posts available.

Education

Kagera

1993 – 1999

Masomo yote

Nawashukuru walimu wangu wa shule ya msingi Kagera Kwani wamekuwa msaada mkubwa kwangu nimeweza kujifunza kusoma na kuandika na pia kupitia stadi za kazi mbalimbali za shuleni zimeweza kuni saidia kuya jua vizuri mazingira yanayo tuzunguka

Ivumwe

2000 – 2003

Science

Kwa kupitia Elimu hii ya sekondari imeweza kuongeza ufahamu wangu tofauti na shule ya msingi Kwani nimeweza kusoma Kwa bidii na kujifunza vitu mbalimbali na pia kujifunza kuishi na watu na kujiamini

Veta mbeya

2012 – 2015

Ujenzi

Nina shukuru chuo cha mafunzo ya ufundi mbeya Kwani nimeweza kujifunza vitu mbalimbali ambavyo ni nje ya darasani na kujifunza maisha ya kujitegemea Kwa kupitia shuguli za ujenzi nilizo kuwa nikizifanya na mpaka sasa nimeweza kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu ujenzi