Details
Nina ujuzi wa kuezeka paa Kwani nina vijana ambao wame bobea kwenye swala zima la uezekaji wa mapaa, na tuna tumia vifaa Bora na vya kisasa kuhakikisha mteja ana pata kile kilicho bora kabisa na tuna panga budget na mteja pia tuna mpatia ushauri pale unapo hitajika
Materials Included
- Mbao (Metre)
- Misumari (Per Kilogram)
- Mabati (Per Single Floor House 150 Sqm)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ujenzi zina fanyika site hivyo ulinzi ni mkubwa.
Quality Control
Tuna tumia vifaa vilivyo bora na vinavyo tusaidia kutengeneza bati lenye slope nzuri
Budget Control
Tuna kaa na mteja kupanga bajeti nzima ya upauaji na kuhakikisha tuna mshauri atumie material za kisasa
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina Isha ndani ya muda tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja wetu ameridhika na kama kuna changamoto tuna itatua Kwa wakati
Tuna usikiliza ushauri wa mteja juu ya kazi yetu anavyo iona na kuufanyia kazi
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Chronology
Published13 Aug 2024
Modified13 Aug 2024
AuthorLutengano Mwandola