Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 303.65 / Sq Metre Sq Metre
Duration
20 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
David Tribus
David Tribus
Fundi mabanda ya kuku Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya kuku yanayo dumu kwa muda mrefu na mabanda haya naya jenga kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa hali ya juu kwani nina tumia vipimo katika ujenzi wa msingi na kuta za banda pia nina hakikisha nasakafia vizuri banda na nina kugawanya kama mteja anavyo taka pia mteja ana patiwa gharama nzima za ujenzi wa banda hilo na tuna zingatia muda wa kazi hadi tuna mkabidhi mteja wetu kazi yake.

Materials Included

  • Tofali (500 Item)
  • Wire mash (10 Metre)
  • Mbao (90 Item)
  • Mbao (50 Item)
  • Mbao (15 Item)
  • Mbao (10 Item)
  • Mabati (40 Item)
  • Misumari (4 Per Kilogram)
  • Misumari (5 Per Kilogram)
  • Misumari (5 Per Kilogram)

Quality & Control Plan

Safety Control Kazi za ujenzi wa nanda zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa kisasa kwenye ujenzi Nina zingatia vipimo
Budget Control Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda
Schedule Control Nina hakikisha kazi ina isha kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu

Category

Building Setting Out

Chronology

Published11 Sep 2024

Modified11 Sep 2024

AuthorDavid Tribus

Tags

No tags available

Service Data

Category
Building Setting Out
Type
Physical Work
Rate
USD 303.65 / Sq Metre
Duration
20 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
David Tribus
Comments
No reviews recorded