Author: Ally Mbulu
Mini ni fundi wakutengeneza nyumba Kwakuzingatia ujuzi na ubunifu wa kisasa pia nina uzoefu wakutosha katika shughuli zangu za ujenzi na nina hakikisha nyumba ina kuwa yenye ubora wa hali ya juu na nina mpatia mteja wangu kile anacho kihitaji, pia nina ambatana na mafundi ambao wame bobea katika shuguli za ujenzi wa nyumba na kuhakikisha kazi ina kuwa ya viwango na yenye kuzingatia vipimo.
