Author: Salumu Muhenga
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha nina ujuzi wa kuweka Mapaa kwa kutumia mabati ya Msouth na nina mafundi ambao Wana uzoefu na kazi hii na kulifanya paa lako likiwa lina vutia,tuna fika mikoa yote hapa Tanzania Kwa ajili ya kazi hii na mteja kwetu anapewa kipaumbele cha kusikilizwa
