Author: Dachi Semere
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala zima la utengenezaji wa gypsum board na uwekaji wa urembo kwenye gypsum board nyumbani na mahotelini Kwa kutumia mbao na gypsum,nina tengeneza sehemu kama vile sebuleni(sitting room), jikoni(kitchen),chumbani,TV show cases pia na fika mikoa yote kutoa huduma hii ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa Kwa ubora na ubunifu wa kisasa na toa ushauri bure kabisa.
