Author: Dickson Mrema
Mimi ni fundi mwenye uzoefu katika swala zima la kuweka mifumo ya bomba kwenye nyumba,naweka mifumo iliyo ya kisasa ya maji Safi na maji taka kwenye nyumba na vyooni pia nina mafundi ambao wamebobea katika kazi hii na ushauri mteja ana patiwa bure kabisa.
