Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Kutana na fundi tiles wa uhakika
Masomo yote
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu ya msingi kwani umekuwa msaada kwangu katika swala Zima la kujifunza kusoma na kuandika pia nime weza kujifunza stadi za kazi mbali mbali ambazo zimenisaidia kwenye mazingira yanayo nizunguka