Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles majumbani Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia natumia vipimo ambavyo vina niwezesha katika swala Zima la upimaji wa tiles na kuzikata pia niko na wasaidizi ambao Wana nisaidia katika swala Zima la uwekaji wa tiles pia mteja anasikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na kuoatiwa ushauri bure kabisa
Materials Included
- Tiles (Sq Metre)
- Cement (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za uwekaji wa tiles Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha tuna tumia vipimo kabla ya kuweka tiles
Budget Control
Mteja ana patiwa gharama nzima ya idadi ya tiles zitakazo tumika kwenye ujenzi
Schedule Control
Tuna zingatia muda katika ufanyaji wa kazi
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published29 Aug 2024
Modified29 Aug 2024
AuthorGaba Peter