Details
Nina jihusisha na uwekaji wa tiles kwenye vyoo na mabafu Kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwaku tumia vipimo ,pia mteja anasikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na pia tuna mpatia ushauri bure kabisa
Materials Included
- Tiles (Sq Metre)
- Cement (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa tiles Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa vipimo
Tuna zingatia ubora wa tiles
Budget Control
Mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa tiles.
Schedule Control
Tuna zingatia muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published29 Aug 2024
Modified29 Aug 2024
AuthorGaba Peter