Author: Jefferson Rusali
Nina toa huduma ya kutengeneza mabanda ya kuku ,Bata ,kanga, sungura, ng'ombe,mbuzi na mifugo ya aina yeyote ile kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa zaidi pia gharama zangu ni nafuu kabisa pia mteja wangu ataweza kupata kile anacho stahili kukiona kwenye banda lake.
