Makazi Family
0 Sign In
Makazi Team
Verified Provider TZS 75,000/Day

Makazi Team | Developer

TZ

Timiza Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

30K Points
Experience: 16 years
welding wiring waterproofing

Contacts

Scan With Your Mobile

to Get it Handy

QR Code
Tanzania
mak******************com
male
Active
Experience: 16 years
swahili english
R Verified Provider

About Makazi

Timiza Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

Expertise & Skills

welding wiring waterproofing

Designs (0)

No designs available.

Posts (21)

Namna ya kujenga na kurekebisha kuvuja paa kwa nyumba za contemporary (zilizofichwa paa/ hidden roof)
Crafts

Namna ya kujenga na kurekebisha kuvuja paa kwa nyumba za contemporary (zilizofichwa paa/ hidden roof)

Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi zimekuwa zinavutia watu wengi sababu ya mwonekano wake wa boksi, ubapa na kona nzuri zilizoibeba nyumba na kuifanya kuvutia. Uzuri wake ni rahisi sana ... Read more

05 May 2021 Read more
Orodha ya ramani za nyumba zinazofaa kujengea nyumba ndogo Tanzania
Cost

Orodha ya ramani za nyumba zinazofaa kujengea nyumba ndogo Tanzania

Nini uhalisia wa nyumba ndogo? Tunapokuja katika swala la ujenzi wa makazi ya kuishi familia, basi kuna mambo amabyo yamekuwa kama sheria ambayo yanaamua aina ya nyumba ambazo tunajenga. Baadhi ya mambo ni kama bajeti, tamaduni, majirani, hali ya hewa, staili… Kiujumla ktk jamii yetu tunapozungumzia nyumba ndogo tunamaanisha ni zile nyumba ambazo zinatumia nafasi ... Read more

03 Feb 2020 Read more
Rangi nyeupe ktk nyumba yako, maana na uzuri wake
Finishing & Home Decoration

Rangi nyeupe ktk nyumba yako, maana na uzuri wake

Nyeupe ni rangi ambayo inaleta ladha fulani ktk maisha yetu ya kila Siku. Ni rangi inayo balance na rangi zote. Inaleta saikolojia ya usafi, unadhifu, utakatifu, unyoofu, amani, mwanzo mpya, ukamilifu, isiyo na makosa… Rangi nyeupe ni rangi ambayo ukiipaka ktk nyumba yako basi itaifanya nyumba yako ipendeze na pia wewe utaonekana wa kutofauti kwa ... Read more

18 Jul 2019 Read more
Fahamu zaidi unapotaka kujenga nyumba bati zisizoonekana (Contemporary houses za Kitanzania)
Crafts

Fahamu zaidi unapotaka kujenga nyumba bati zisizoonekana (Contemporary houses za Kitanzania)

CONTEMPOARY HOUSES nini? – Contemporary maana yake ni MODERN. Hivyo hizi ni nyumba za kisasa zaidi (zinazo-trend) – Zinasifa za kuwa simple, smart, minimalistic, clear. Zina sura bapa(planes), box style, nyuzi pembe nne, straightness, rangi chache zaidi nyeupe na gray, open space, less privacy as freedom, madirisha na milango mikubwa – Zinatabia ya kutumia vifaa ... Read more

03 Jun 2019 Read more
Gharama za ujenzi wa nyumba yako
Cost

Gharama za ujenzi wa nyumba yako

Hapa tunachambua kuhusu gharama za ujenzi wa nyumba yako! Je, gharama hizi zinatoka wapi? Kwanini zifike hapo? Vipengere gani vya ujenzi vinaunda hizo gharama? Mgawanyiko wa hizo gharama upoje kwa kila steji ya ujenzi? Njia rahisi ya kufanya makadirio ya gharama ya ujenzi. Kumbuka hapa tunazungumzia kuhusu nyumba ya kuishi familia. Hapa utaweza kupata mwanga ... Read more

31 Jan 2019 Read more
Idadi ya Bati za Kawaida ni Sawa na Migongo Mipana au Vigae Kiasi Gani?
Construction Materials

Idadi ya Bati za Kawaida ni Sawa na Migongo Mipana au Vigae Kiasi Gani?

[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2,5″ ihc_mb_template=”1″ ] Kikokotozi hiki kinakusaidia kujua tofali za Bati za kawaida za Futi 10 ni sawa na Bati za migongo mipana au Vigae Decra Kaisi gani [super_form id=”13243″] [/ihc-hide-content]

26 Jan 2019 Read more
Kubadili Idadi ya Tofali za Block Kuwa Kuchoma na Interlocking
Construction Materials

Kubadili Idadi ya Tofali za Block Kuwa Kuchoma na Interlocking

[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2,5″ ihc_mb_template=”1″ ] Kikokotozi hiki kinakusaidia kujua tofali za block nchi 6 ni sawa na tofali ngapi za interlocking na kuchoma [super_form id=”13228″] [/ihc-hide-content]

26 Jan 2019 Read more
Makadirio ya kiasi cha zege na plasta
Estimators & Simulators

Makadirio ya kiasi cha zege na plasta

[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2″ ihc_mb_template=”1″ ] [wpsm_highlight color=”yellow”]System hii inakusaidia kujua kiasi cha vifaa kinachohitajika kukamilisha kazi yako ya plasta au zege. Utaweza jua kaisi cha mchanga, kokoto na cement[/wpsm_highlight] [super_form id=”8955″] [/ihc-hide-content]

26 Jan 2019 Read more
1 2 3