Author: Nelly Masila
Mimi ni mtaalam wa kupaka rangi majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwa kuzingatia umakini wa hali ya juu pia nina ambatana na mafundi wenye uzoefu na walio bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi na kuhakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu pia tuna zingatia muda wa kuanza na kukabidhi kazi kama tulivyo kubaliana na mteja wetu.
