Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Your Partner in Electrical & Security Systems
Masomo yote
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu ya msingi Kwa malezi bora na kupitia elimu hii niliyo ipata imekuwa msaada kwangu kwani nimeweza kujifunza kusoma na kuandika na stadi za kazi nilizo fundishwa shuleni zimenisaidia kujifunza vitu nje ya shule.
Electrical insulation
Elimu hii niliyo ipata katika center ya dounbosco imekuwa msaada kwangu kwani nimeweza kujua mambo mengi kuhusiana na umeme pamoja na ufungaji wa umeme kiujumla na hatimae nimeweza kuwa mzoefu wa kazi hiina kujiajiri.