Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 8.35 / Metre Metre
Duration
2 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Nasiad Omary
Nasiad Omary
Mifumo ya umeme viwandani na majumbani, CCTV Cameras, Electric fence,Alarm systems, Networking Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kufunga uzio wa umeme Kwa kuzingatia ubora wa kisasa na niko na mafundi wenye uzoefu wa kutosha kwenye kazi hizi na Wana fanya nyumba yako iwe na usalama mzuri kabisa pia mteja wetu ana patiwa gharama nzima itakayo tumika kwenye ufungaji wa uzio na anasikilizwa Kwa kile anacho kitaka.

Materials Included

  • Nyaya za umeme (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za ufungaji wa fensi ya umeme Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Tuna zingatia ubora wa vifaa
Budget Control Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima itakayo tumika
Schedule Control Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa Kazi yake Kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control Tunatoa huduma bora hivyo mteja anaridhika na kazi zetu

Category

Electricity Safety, Security Systems

Chronology

Published23 Aug 2024

Modified23 Aug 2024

AuthorNasiad Omary

Tags

No tags available

Service Data

Category
Electricity Safety, Security Systems
Type
Physical Work
Rate
USD 8.35 / Metre
Duration
2 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Nasiad Omary
Comments
No reviews recorded