Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 113.87 / Sq Metre Sq Metre
Duration
7 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Seif Athumani
Seif Athumani
Fundi umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kufunga umeme majumbani kwa kuzingatia ubora na umakini wa hali ya juu pia niko na mafundi ambao wana elimu nzuri na wabunifu katika kuhakikisha kazi inakuwa ya viwango vya kisasa pia tuna fanya kazi kwa muda na kuhakikisha mteja ana pata kile anacho stahili na pia tuna msikiliza mteja wetu kwa kile anacho kihitaji na ushauri ni bure kabisa kwa wateja wetu.

Materials Included

  • Wire (Metre)
  • Boxe (Item)
  • Bomba (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Tuna fanya kazi zote site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Tuna zingatia ubora wa kazi na vipimo
Budget Control Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya uwekaji wa mifumo ya umeme
Schedule Control Tuna hakikisha kazi inaisha kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control Tuna hakiki mteja wetu ameridhishwa na kazi yetu

Category

Electricity Safety

Chronology

Published4 Sep 2024

Modified4 Sep 2024

AuthorSeif Athumani

Tags

No tags available

Service Data

Category
Electricity Safety
Type
Physical Work
Rate
USD 113.87 / Sq Metre
Duration
7 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Seif Athumani
Comments
No reviews recorded