Nina ujuzi wa kufunga cctv camera majumbani, maofisini na kwa sehemu yeyote ile ambayo ina hitaji kuwekewa ulinzi wa camera kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa hali ya juu, pia nina msikiliza mteja kwa kile anacho taka kwenye ofisi au nyumba yake na kufanya kazini iwe bora zaidi pia ushauri natoa bure kabisa kwa wateja wangu na nina mpatia mteja wangu gharama nzima zitakazo tumika kwenye uwekaji wa cctv camera, pia nafanya kazi zangu kwa wakati na kumkabidhi mteja wangu.
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorSeif Athumani