Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 18.98 / Item Item
Duration
3 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Ronald Shayo
Ronald Shayo
Fundi umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina toa huduma ya ufungaji wa cctv camera kwenye nyumba na maofisini pia nina unganisha moja kwa moja na tv iliyopo ndani pamoja na simu ya mteja nina iunganisha na cctv camera hivyo ataweza kuona kina cho endelea nyumbani kwake muda wowote pia nina zingatia vifaa bora na umahiri wa hali ya juu na kuhakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu na mwisho mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa cctv camera na ushauri kwangu ni bure kabisa.

Materials Included

  • Cctv camera (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina hakikisha usalama kwani kazi zote za uwekaji wa cctv camera zina fanyika site
Quality Control Nina zingatia ubora wa kisasa kwa kuunganisha system ya cctv camera na simu ya mteja
Budget Control Nina mpatia mteja gharama zote zitakazo tumika kwenye ufungaji wa cctv camera
Schedule Control Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna enda na muda
Satisfaction Control Tuna hakikisha mteja ana ridhika na kazi zetu

Category

Security Systems

Chronology

Published4 Sep 2024

Modified4 Sep 2024

AuthorRonald Shayo

Tags

No tags available

Service Data

Category
Security Systems
Type
Physical Work
Rate
USD 18.98 / Item
Duration
3 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Ronald Shayo
Comments
No reviews recorded