Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 208.76 / Item Item
Duration
2 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Denice Mboya
Denice Mboya
Kufunga gate, kuweka video door bell,kufunga fance ya umeme na kufunga alarm Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina toa huduma ya ufungaji wa alarm system ambazo Zita weza kukulinda nyakati zote dhidi ya wezi kwenye nyumba yako, system hii tuta iunganisha moja Kwa moja na simu yako Ili uweze ku monitor Kwa ukaribu zaidi pia system hii ina motion detector ambayo ina saidia kuhisi kama Kuna tatizo mlangoni au sehemu yeyote Ile ya eneo la nyumba yako na itapiga kingora na kukupigia simu mpaka utakapo pokea Ili kujua nini kinaendelea nyumbani kwako.

Materials Included

  • Intruder alarm system (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za ufungaji wa alarm system zinafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Tuna zingatia ubora wa vifaa vya alarm
Budget Control Tuna mpatia mteja gharama nzima itakayo tumika kwenye ufungaji wa alarm system
Schedule Control Tuna hakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu

Category

Security Systems

Chronology

Published23 Aug 2024

Modified23 Aug 2024

AuthorDenice Mboya

Tags

No tags available

Service Data

Category
Security Systems
Type
Physical Work
Rate
USD 208.76 / Item
Duration
2 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Denice Mboya
Comments
No reviews recorded