Details
Nina ujuzi wa kufunga video door bell ambayo inaonyesha Kwa quality iliyo nzuri na mteja ana weza kumuona mgeni anaye gonga kengele getini na kuwasiliana nae moja Kwa moja bila yeye kutoka nje.
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa video door bell Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa camera ambayo inaweza kuchukua picha Kwa quality nzuri
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa Kazi yake Kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu
Category
Security Systems, Smart Homes
Chronology
Published23 Aug 2024
Modified23 Aug 2024
AuthorDenice Mboya