Details
Nina toa huduma ya ufungaji wa alarm system ambazo Zita weza kukulinda nyakati zote dhidi ya weza kwenye nyumba yako, system hii tuta iunganisha moja Kwa moja na simu yako Ili uweze ku monitor Kwa ukaribu zaidi pia system hii ina motion detector ambayo ina saidia kuhisi kama Kuna tatizo mlangoni au sehemu yeyote Ile ya eneo la nyumba yako na itapiga kingora na kukupigia simu mpaka utakapo pokea Ili kujua nini kinaendelea nyumbani kwako.
Materials Included
- Intruder alarm system (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa alarm system zinafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa vifaa vya alarm
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama nzima itakayo tumika kwenye ufungaji wa alarm system
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu
Category
Security Systems
Chronology
Published23 Aug 2024
Modified23 Aug 2024
AuthorDenice Mboya