Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 626.27 / Item Item
Duration
2 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Denice Mboya
Denice Mboya
Kufunga gate, kuweka video door bell,kufunga fance ya umeme na kufunga alarm Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina jihusisha na ufungaji wa mageti ya kisasa Kwa kutumia motor ya DS smart ambayo ina technologia ya kisasa na ina muwezesha mteja kufungua na kufunga geti Kwa kutumia remote na tuna kuunganishia na simu hivyo mteja ataweza kutumia simu yake ya smartphone ku fungua geti na kulifunga bila kwenda getini pia motor hii ina battery backup hivyo ina weza kufanya kazi hata kama umeme utakuwa umekatika ndani ya masaa72 na pia technologia hii hai chagui mazingira.

Materials Included

  • Motor ya DS smart (Item)
  • Geti (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za ufungaji wa motor kwenye geti zinafanyika hapo hapo site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Tuna zingatia ufungaji bora na mteja ana unganishiwa system hii kwenye simu yake ya mkononi
Budget Control Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima itakayo tumika kwenye ufungaji wa motor ya DS smart
Schedule Control Tuna hakikisha tuna maliza Kwa wakati ufungaji wa motor
Satisfaction Control Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu

Category

Gate Installation

Chronology

Published23 Aug 2024

Modified23 Aug 2024

AuthorDenice Mboya

Tags

No tags available

Service Data

Category
Gate Installation
Type
Physical Work
Rate
USD 626.27 / Item
Duration
2 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Denice Mboya
Comments
No reviews recorded