Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 379.56 / Item Item
Duration
20 Item Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Malaki Fransis
Malaki Fransis
Fundi milango, madirisha,mageti,vitanda vya chuma na utengenezaji na uwekaji wa aluminium Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu mkubwa wa kuchomelea mageti kisasa zaidi ya size tofauti tofauti Kwa muda mfupi na kuya paka rangi na yaka pendeza kabisa pia nina msikiliza mteja wangu na kumpatia budget nzima na ushauri pale unapo hitajika

Materials Included

  • Bati ngumu (Per Second)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda mageti yangu nyakati zote
Quality Control Nina tumia mabati magumu ambayo NI imara Kwa kutengeneza mageti
Budget Control Nina mpatia mteja wangu mahesabu ya material zitakazo tumika na kumpatia gharama Kwa ujumla
Schedule Control Nina zingatia muda niliyo kubaliana na mteja wangu.
Satisfaction Control Mwisho namuuliza mteja wangu baada ya kumfungia geti lake analionaje kama nizuri na pia nasikiliza ushauri wake

Category

Steel Fixing, Gate Installation, Welding

Chronology

Published6 Aug 2024

Modified6 Aug 2024

AuthorMalaki Fransis

Tags

No tags available

Service Data

Category
Steel Fixing, Gate Installation, Welding
Type
Physical Work
Rate
USD 379.56 / Item
Duration
20 Item
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Malaki Fransis
Comments
No reviews recorded