Details
Nina uzoefu wa kuweka aluminium majumbani Kwa kutumia vifaa vyangu bora na vya kisasa vinavyo niwezeshe kukata aluminium vizuri na kupima pia nina msikiliza mteja wangu na kumpatia ushauri pale unapo hitajika na mwisho na mpatia budget nzima itakayo tumika kukamilisha uwekaji wa aluminium kwenye nyumba yake
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda aluminium nyakati zote na pia nina sehem nzuri za kuhifadhi aluminium
Quality Control
Nina tumia aluminium zilizo Bora kabisa na kuzingatia mteja anahitaji aluminium za Aina gani
Budget Control
Nina seti matumizi yote yatakayo hitajika kwenye utengenezaji na kumpatia mteja wangu
Schedule Control
Nina pangilia ratiba yangu vizuri kuhakikisha ule mda tulio kubaliana na mteja kazi yake inakuwa Isha malizika
Satisfaction Control
Nina muuliza mteja maswali kulingana na kazi yangu na kumsikiliza ushauri wake
Category
Door Installation, Window Installation
Chronology
Published6 Aug 2024
Modified6 Aug 2024
AuthorMalaki Fransis